Ayubu 6:8
“Laiti ningepata haja yangu, 2 kwamba Mungu angenijalia hilo nililotarajia, 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Oh that I might have my request; and that God would grant me the thing that I long for!
In Context
7Ninakataa kuvigusa; 2 vyakula vya aina hii hunichukiza. 1
9kwamba Mungu angekuwa radhi kuniponda, 2 kuuachia mkono wake na kunikatilia mbali! 1
Cross References
1 Kings 19:4lakini yeye mwenyewe akatembea mwendo wa kutwa nzima katika jangwa. Akafika kwenye mti wa mretemu, akakaa chini yake na kuomba ili afe. Akasema, “Yatosha sasa, Bwana, ondoa roho yangu, kwani mimi si bora kuliko baba zangu.”
Job 3:22ambao hujawa na furaha, 2 na hushangilia wafikapo kaburini? 1
Job 10:1“Nayachukia sana haya maisha yangu; 2 kwa hiyo nitatoa malalamiko yangu kwa wazi bila kujizuia, 2 nami nitanena kutokana na uchungu wa moyo wangu. 1
Psalms 119:81Nafsi yangu inazimia kwa kutamani wokovu wako, 2 lakini nimeweka tumaini langu katika neno lako. 1