Ayubu 6:9
kwamba Mungu angekuwa radhi kuniponda, 2 kuuachia mkono wake na kunikatilia mbali! 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Even that it would please God to destroy me; that he would let loose his hand, and cut me off!
In Context
8“Laiti ningepata haja yangu, 2 kwamba Mungu angenijalia hilo nililotarajia, 1
Cross References
1 Kings 19:4lakini yeye mwenyewe akatembea mwendo wa kutwa nzima katika jangwa. Akafika kwenye mti wa mretemu, akakaa chini yake na kuomba ili afe. Akasema, “Yatosha sasa, Bwana, ondoa roho yangu, kwani mimi si bora kuliko baba zangu.”
Job 3:21wale wanaotamani kifo ambacho hakiji, 2 wale watafutao kufa zaidi ya kutafuta hazina iliyofichwa, 1
Job 10:1“Nayachukia sana haya maisha yangu; 2 kwa hiyo nitatoa malalamiko yangu kwa wazi bila kujizuia, 2 nami nitanena kutokana na uchungu wa moyo wangu. 1
Job 19:21“Nihurumieni, rafiki zangu, kuweni na huruma, 2 kwa kuwa mkono wa Mungu umenipiga. 1
Isaiah 48:10Tazama, nimekusafisha, ingawa si kama fedha, 2 nimekujaribu katika tanuru ya mateso. 1
Jonah 4:8Wakati jua lilipochomoza, Mungu akautuma upepo wa hari wa mashariki, nalo jua likawaka juu ya kichwa cha Yona mpaka akazimia. Akatamani kufa, naye akasema, “Ni afadhali mimi nife kuliko kuishi.”