Job 7:21
Kwa nini husamehi makosa yangu 2 na kuachilia dhambi zangu? 1 Kwa kuwa hivi karibuni nitalala mavumbini; 2 nawe utanitafuta, wala sitakuwepo.”
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
2 Samuel 24:10Dhamiri ya Daudi ilishtuka baada ya kuwahesabu wapiganaji, naye akamwambia Bwana, “Nimefanya dhambi kubwa kwa kufanya jambo hili. Ee Bwana, sasa ninakusihi, ondoa hatia ya mtumishi wako. Nimefanya jambo la kipumbavu sana.”
Job 7:8Lile jicho linaloniona sasa halitaniona tena; 2 utanitafuta, wala sitakuwepo. 1
Job 10:14Kama nilifanya dhambi, ungekuwa umeniona, 2 wala usingeacha kosa langu lipite bila kuadhibiwa. 1
Job 14:10Lakini mwanadamu hufa, na huo ndio mwisho wake; 2 hutoa pumzi ya mwisho, naye hayuko tena! 1
Job 20:8Kama ndoto hutoweka, wala hapatikani tena, 2 amefukuziwa mbali kama maono ya usiku. 1
Psalms 37:36lakini alitoweka mara na hakuonekana, 2 ingawa nilimtafuta, hakupatikana. 1