Ayubu 7:20
Ikiwa nimetenda dhambi, nimekufanyia nini, 2 Ewe mlinzi wa wanadamu? 1 Kwa nini umeniweka niwe shabaha yako? 2 Je, nimekuwa mzigo kwako? 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
19Je, hutaacha kamwe kunitazama, 2 au kuniacha japo kwa kitambo kidogo tu? 1
Cross References
Job 3:24Kwa maana kulia kwangu kwa uchungu kwanijia badala ya chakula; 2 kusononeka kwangu kunamwagika kama maji. 1
Job 7:11“Kwa hiyo sitanyamaza; 2 nitanena kutokana na maumivu makuu ya roho yangu, 2 nitalalama kwa uchungu wa nafsi yangu. 1
Job 10:2Nitamwambia Mungu: Usinihukumu, 2 bali niambie una mashtaka gani dhidi yangu. 1
Job 13:26Kwa kuwa unaandika mambo machungu dhidi yangu 2 na kunifanya nizirithi dhambi za ujana wangu. 1
Job 16:12Mambo yote yalikuwa mazuri, lakini alinivunjavunja; 2 amenikamata shingo na kuniponda. 2 Amenifanya mimi kuwa shabaha yake; 1
Job 31:33kama nimeifunika dhambi yangu kama wanadamu wengine wafanyavyo, 2 kwa kuficha hatia yangu moyoni mwangu, 1