Ayubu 8:1
Kisha Bildadi Mshuhi akajibu: 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Then answered Bildad the Shuhite, and said,
In Context
2“Hata lini wewe utasema mambo kama haya? 2 Maneno yako ni kama upepo mkuu. 1
Cross References
Job 2:11Basi marafiki watatu wa Ayubu, ndio Elifazi Mtemani, na Bildadi Mshuhi na Sofari Mnaamathi, waliposikia juu ya taabu yote iliyompata Ayubu, wakajipanga toka manyumbani mwao, nao wakakutana pamoja kwa makubaliano kwenda kumtuliza katika taabu hiyo na kumfariji.
Job 25:1Ndipo Bildadi Mshuhi akajibu: 1