Job 2:11
Basi marafiki watatu wa Ayubu, ndio Elifazi Mtemani, na Bildadi Mshuhi na Sofari Mnaamathi, waliposikia juu ya taabu yote iliyompata Ayubu, wakajipanga toka manyumbani mwao, nao wakakutana pamoja kwa makubaliano kwenda kumtuliza katika taabu hiyo na kumfariji.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Genesis 25:2Huyu alimzalia Zimrani, Yokshani, Medani, Midiani, Ishbaki na Shua.
Genesis 36:15Hawa ndio waliokuwa wakuu miongoni mwa wazao wa Esau: 1 Wakuu wa wana wa Elifazi, mzaliwa wa kwanza wa Esau ni: 2 Temani, Omari, Sefo, Kenazi,
Genesis 37:35Wanawe wote na binti zake wakaja kumfariji, lakini hakukubali kufarijiwa. Akasema, “Hapana, nitamwombolezea mwanangu mpaka nimfikie kaburini.” Kwa hiyo baba yake akaendelea kumlilia.
1 Chronicles 1:32Wana waliozaliwa na Ketura suria wa Abrahamu walikuwa: 2 Zimrani, Yokshani, Medani, Midiani, Ishbaki na Shua. 1 Wana wa Yokshani walikuwa: 2 Sheba na Dedani. 1
Job 4:1Ndipo Elifazi Mtemani akajibu: 1
Job 6:19Misafara ya Tema inatafuta maji, 2 wafanyabiashara wa Sheba wanaosafiri 2 hutazama kwa matarajio. 1