Ayubu 8:12
Wakati bado yanaendelea kukua kabla ya kukatwa, 2 hunyauka haraka kuliko majani mengine. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Whilst it is yet in his greenness, and not cut down, it withereth before any other herb.
In Context
11Je, mafunjo yaweza kumea mahali pasipo na matope? 2 Matete yaweza kustawi bila maji? 1
Cross References
Psalms 129:6Wawe kama majani juu ya paa, 2 ambayo hunyauka kabla hayajakua; 1
Jeremiah 17:6Atakuwa kama kichaka cha jangwani; 2 hataona mafanikio yatakapokuja. 1 Ataishi katika sehemu zisizo na maji, 2 katika nchi ya chumvi ambapo 2 hakuna yeyote aishiye humo. 1
James 1:10Lakini yeye aliye tajiri afurahi kwa kuwa ameshushwa, kwa sababu atatoweka kama ua la shambani.