Ayubu 8:11
Je, mafunjo yaweza kumea mahali pasipo na matope? 2 Matete yaweza kustawi bila maji? 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Can the rush grow up without mire? can the flag grow without water?
In Context
10Je, hawatakufundisha na kukueleza? 2 Je, hawataleta maneno kutoka kwenye kufahamu kwao? 1
12Wakati bado yanaendelea kukua kabla ya kukatwa, 2 hunyauka haraka kuliko majani mengine. 1
Cross References
Isaiah 19:5Maji ya mito yatakauka, 2 chini ya mto kutakauka kwa jua. 1