Job 8:21
Bado atakijaza kinywa chako na kicheko, 2 na midomo yako na kelele za shangwe. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Till he fill thy mouth with laughing, and thy lips with rejoicing.
In Context
20“Hakika Mungu hamkatai mtu asiye na hatia, 2 wala kuitia nguvu mikono ya mtenda mabaya. 1
22Adui zako watavikwa aibu, 2 nazo hema za waovu hazitakuwepo tena.”
Cross References
Genesis 21:6Sara akasema, “Mungu ameniletea kicheko, kila mmoja atakayesikia jambo hili atacheka pamoja nami.”
Nehemiah 12:43Siku hiyo watu walitoa dhabihu nyingi, wakishangilia kwa sababu Mungu aliwapa furaha kuu. Wanawake na watoto walishangilia pia. Sauti ya kushangilia huko Yerusalemu iliweza kusikika mbali sana.
Psalms 32:11Shangilieni katika Bwana na mfurahi, enyi wenye haki! 2 Imbeni, nyote mlio wanyofu wa moyo!
Psalms 100:1Mpigieni Bwana kelele za shangwe, dunia yote. 2
Psalms 126:6Yeye azichukuaye mbegu zake 2 kwenda kupanda, huku akilia, 1 atarudi kwa nyimbo za shangwe, 2 akichukua miganda ya mavuno yake.
Luke 6:21Mmebarikiwa ninyi mlio na njaa sasa, 2 kwa sababu mtashibishwa. 1 Mmebarikiwa ninyi mnaolia sasa, 2 kwa sababu mtacheka. 1