Ayubu 8:20
“Hakika Mungu hamkatai mtu asiye na hatia, 2 wala kuitia nguvu mikono ya mtenda mabaya. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Behold, God will not cast away a perfect man, neither will he help the evil doers:
In Context
19Hakika uhai wake hunyauka, 2 na kutoka udongoni mimea mingine huota. 1
21Bado atakijaza kinywa chako na kicheko, 2 na midomo yako na kelele za shangwe. 1
Cross References
Job 9:22Hayo yote ni sawa; ndiyo sababu nasema, 2 ‘Yeye huwaangamiza wasio na makosa pamoja na waovu.’ 1
Psalms 34:17Wenye haki hulia, naye Bwana huwasikia, 2 huwaokoa katika taabu zao zote. 1
Psalms 37:37Watafakari watu wasio na hatia, 2 wachunguze watu wakamilifu, 2 kuna mafanikio kwa mtu apendaye amani. 1
Proverbs 10:9Mtu mwadilifu hutembea salama, 2 lakini mtu aendaye katika njia zilizopotoka atagunduliwa. 1