Ayubu 9:11
Anapopita karibu nami, siwezi kumwona; 2 apitapo mbele yangu, simtambui. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Lo, he goeth by me, and I see him not: he passeth on also, but I perceive him not.
In Context
10Hutenda maajabu yasiyopimika, 2 miujiza isiyoweza kuhesabiwa. 1
12Anapochukua kwa ghafula, ni nani awezaye kumzuia? 2 Ni nani awezaye kumwambia, ‘Unafanya nini?’ 1
Cross References
Job 23:9Anapokuwa kazini pande za kaskazini, simwoni; 2 akigeukia kusini, nako simwoni hata kidogo. 1
Psalms 77:19Njia yako ilipita baharini, 2 mapito yako kwenye maji makuu, 2 ingawa nyayo zako hazikuonekana. 1