Ayubu 23:9
Anapokuwa kazini pande za kaskazini, simwoni; 2 akigeukia kusini, nako simwoni hata kidogo. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
8“Lakini nikienda mashariki, hayupo; 2 nikienda magharibi, simpati. 1
10Lakini anaijua njia niiendeayo; 2 akiisha kunijaribu, nitatoka kama dhahabu. 1
Cross References
Job 9:11Anapopita karibu nami, siwezi kumwona; 2 apitapo mbele yangu, simtambui. 1
Job 34:29Lakini kama akinyamaza kimya, 2 ni nani awezaye kumhukumu? 1 Kama akiuficha uso wake, 2 ni nani awezaye kumwona? 1 Ikiwa ni taifa au mtu mmoja, kwake ni sawa, 2
Isaiah 8:17Nitamngojea Bwana, 2 ambaye ameificha nyumba ya Yakobo uso wake. 1 Nitaliweka tumaini langu kwake.