Ayubu 9:20
Hata kama sikuwa na hatia, kinywa changu kingenihukumu; 2 kama sikuwa na kosa, kingenitangaza kuwa mwenye hatia. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
21“Ingawa mimi sina kosa, 2 haileti tofauti katika nafsi yangu; 2 nauchukia uhai wangu. 1
Cross References
Job 4:17‘Je, binadamu aweza kuwa mwadilifu kuliko Mungu? 2 Je, mtu aweza kuwa safi kuliko Muumba wake? 1
Job 9:28bado ninahofia mateso yangu yote, 2 kwa kuwa ninajua hutanihesabu kuwa sina hatia. 1
Job 10:15Kama nina hatia, ole wangu! 2 Hata kama ningekuwa sina hatia, 2 siwezi kukiinua kichwa changu, 1 kwa kuwa nimejawa na aibu, 2 na kuzama katika mateso yangu. 1
Job 15:5Dhambi yako inasukuma kinywa chako, 2 nawe umechagua ulimi wa hila. 1
Job 32:1Basi watu hawa watatu wakaacha kumjibu Ayubu, kwa kuwa alikuwa mwadilifu machoni pake mwenyewe.
Job 34:35‘Ayubu huongea bila maarifa; 2 maneno yake hayana busara.’ 1