Ayubu 9:28
bado ninahofia mateso yangu yote, 2 kwa kuwa ninajua hutanihesabu kuwa sina hatia. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
I am afraid of all my sorrows, I know that thou wilt not hold me innocent.
In Context
27Kama nikisema, ‘Nitayasahau malalamiko yangu, 2 nitabadili sura ya uso wangu na kutabasamu,’ 1
29Kwa kuwa nimeonekana mwenye hatia, 2 kwa nini basi nitaabishwe bure? 1
Cross References
Exodus 20:7Usilitaje bure jina la Bwana Mungu wako, kwa kuwa Bwana hataacha kumhesabia hatia yeye alitajaye jina lake bure. 1
Job 7:21Kwa nini husamehi makosa yangu 2 na kuachilia dhambi zangu? 1 Kwa kuwa hivi karibuni nitalala mavumbini; 2 nawe utanitafuta, wala sitakuwepo.”
Job 9:20Hata kama sikuwa na hatia, kinywa changu kingenihukumu; 2 kama sikuwa na kosa, kingenitangaza kuwa mwenye hatia. 1
Job 14:16Hakika ndipo utakapozihesabu hatua zangu, 2 lakini hutazifuatia dhambi zangu. 1
Job 33:10Lakini bado Mungu amepata dosari kwangu, 2 naye ananiona kama adui yake. 1
Psalms 119:120Mwili wangu unatetemeka kwa kukuogopa wewe, 2 ninaziogopa sheria zako. 2 Kuitii Sheria Ya Bwana 1