Ayubu 9:23
Wakati pigo liletapo kifo cha ghafula, 2 yeye hudhihaki kule kukata tamaa kwa yule asiye na kosa. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
If the scourge slay suddenly, he will laugh at the trial of the innocent.
In Context
22Hayo yote ni sawa; ndiyo sababu nasema, 2 ‘Yeye huwaangamiza wasio na makosa pamoja na waovu.’ 1
Cross References
2 Samuel 14:15“Nami sasa nimekuja kusema hili kwa bwana wangu mfalme kwa sababu watu wameniogopesha. Mtumishi wako alifikiri, ‘Nitanena na mfalme, labda mfalme atamfanyia mtumishi wake kile anachoomba.
Job 1:13Siku moja watoto wa Ayubu walipokuwa wakifanya karamu wakila na kunywa divai katika nyumba ya ndugu yao mkubwa,
Job 4:7“Fikiri sasa: Ni mtu yupi asiye na hatia ambaye aliwahi kuangamia? 2 Ni wapi wanyofu waliwahi kuangamizwa? 1
Job 24:12Kilio cha huzuni cha wanaokufa kinapaa kutoka mjini, 2 nazo nafsi za waliojeruhiwa zinalilia msaada. 1 Lakini Mungu hamlaumu mtu yeyote 2 kwa kutenda mabaya. 1
Ezekiel 14:19“Au kama nikipeleka tauni katika nchi hiyo na kumwaga ghadhabu yangu juu yake kwa njia ya kumwaga damu, kuua watu wake na wanyama wao,
Hebrews 11:36Wengine walidhihakiwa na kupigwa, hata walifungwa minyororo na kutiwa gerezani.