Job 4:7
“Fikiri sasa: Ni mtu yupi asiye na hatia ambaye aliwahi kuangamia? 2 Ni wapi wanyofu waliwahi kuangamizwa? 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Remember, I pray thee, who ever perished, being innocent? or where were the righteous cut off?
In Context
Cross References
Job 9:22Hayo yote ni sawa; ndiyo sababu nasema, 2 ‘Yeye huwaangamiza wasio na makosa pamoja na waovu.’ 1
Psalms 37:25Nilikuwa kijana na sasa ni mzee, 2 lakini sijaona kamwe wenye haki wameachwa 2 au watoto wao wakiombaomba chakula. 1
Ecclesiastes 9:1Kwa hiyo niliyatafakari yote haya nikafikia uamuzi kwamba waadilifu na wenye hekima na yale wanayoyafanya yako mikononi mwa Mungu, lakini hakuna mtu ajuaye kama anangojewa na upendo au chuki.
2 Peter 2:9ikiwa hivyo ndivyo, basi Bwana anajua jinsi ya kuwaokoa wamchao Mungu kutoka majaribu, na kuwaweka waasi katika adhabu hadi siku ya hukumu.