Ayubu 9:27
Kama nikisema, ‘Nitayasahau malalamiko yangu, 2 nitabadili sura ya uso wangu na kutabasamu,’ 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
If I say, I will forget my complaint, I will leave off my heaviness, and comfort myself:
In Context
26Zinapita upesi kama mashua ya mafunjo, 2 mfano wa tai ayashukiaye mawindo kwa ghafula. 1
28bado ninahofia mateso yangu yote, 2 kwa kuwa ninajua hutanihesabu kuwa sina hatia. 1
Cross References
Job 7:11“Kwa hiyo sitanyamaza; 2 nitanena kutokana na maumivu makuu ya roho yangu, 2 nitalalama kwa uchungu wa nafsi yangu. 1
Psalms 77:2Nilipokuwa katika taabu, nilimtafuta Bwana, 2 usiku nilinyoosha mikono bila kuchoka 2 na nafsi yangu ilikataa kufarijika. 1