Ayubu 9:31
wewe ungenitupa kwenye shimo la utelezi 2 kiasi kwamba hata nguo zangu zingenichukia sana. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Yet shalt thou plunge me in the ditch, and mine own clothes shall abhor me.
In Context
30Hata kama ningejiosha kwa sabuni 2 na kutakasa mikono yangu kwa magadi, 1
32“Yeye si mwanadamu kama mimi ili niweze kumjibu, 2 ili kwamba tuweze kushindana naye mahakamani. 1
Cross References
Job 14:17Makosa yangu yatafungiwa kwa lakiri kwenye mfuko, 2 nawe utazifunika dhambi zangu. 1
Isaiah 59:6Utando wao wa buibui haufai kwa nguo; 2 hawawezi kujifunika kwa kile walichokitengeneza. 1 Matendo yao ni matendo maovu, 2 vitendo vya jeuri vipo mikononi mwao. 1
Jeremiah 2:22Hata ujisafishe kwa magadi 2 na kutumia sabuni nyingi, 2 bado doa la hatia yako liko mbele zangu,” 4 asema Bwana Mwenyezi. 1