Isaiah 59:6
Utando wao wa buibui haufai kwa nguo; 2 hawawezi kujifunika kwa kile walichokitengeneza. 1 Matendo yao ni matendo maovu, 2 vitendo vya jeuri vipo mikononi mwao. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Genesis 6:11Wakati huu dunia ilikuwa imejaa uharibifu na ukatili machoni pa Mungu.
Psalms 55:11Nguvu za uharibifu zinatenda kazi mjini, 2 vitisho na uongo haviondoki mitaani mwake. 1
Isaiah 5:7Shamba la mzabibu la Bwana Mwenye Nguvu Zote 2 ni nyumba ya Israeli, 1 na watu wa Yuda 2 ni bustani yake ya kumpendeza. 1 Alitazamia haki, lakini akaona umwagaji damu, 2 alitazamia uadilifu, lakini akasikia vilio vya taabu. 1 Ole Na Hukumu 1
Isaiah 30:1Bwana asema, 2 “Ole kwa watoto wakaidi, 1 kwa wale wanaotimiza mipango ambayo si yangu, 2 wakifanya makubaliano, lakini si kwa Roho wangu, 2 wakilundika dhambi juu ya dhambi, 1
Isaiah 57:12Nitaifunua haki yako na matendo yako, 2 nayo hayatakufaidi. 1
Isaiah 64:6Sisi sote tumekuwa kama mtu aliye najisi, 2 nayo matendo yetu yote ya uadilifu ni kama matambaa machafu; 1 sisi sote tunasinyaa kama jani, 2 na kama upepo maovu yetu hutupeperusha. 1