Joel 1:16
Je, chakula hakikukatiliwa mbali 2 mbele ya macho yetu: 1 furaha na shangwe 2 kutoka nyumba ya Mungu wetu? 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Is not the meat cut off before our eyes, yea, joy and gladness from the house of our God?
In Context
Cross References
Deuteronomy 12:6hapo ndipo mtakapoleta sadaka zenu za kuteketezwa na dhabihu, zaka zenu na changizo zenu, kile ulichoweka nadhiri kutoa, sadaka zenu za hiari na malimbuko ya makundi yenu ya ngʼombe pamoja na mbuzi na kondoo.
Deuteronomy 16:10Kisha msherehekee Sikukuu ya Majuma kwa Bwana Mungu wenu kwa kutoa sadaka ya hiari kwa kadiri ya baraka ambayo Bwana Mungu wenu amewapa.
Deuteronomy 16:14Mfurahie sikukuu yenu, ninyi, wana wenu, binti zenu, watumishi wenu wa kiume na wa kike, Walawi, wageni, yatima na wajane ambao wanaishi katika miji yenu.
Psalms 105:3Lishangilieni jina lake takatifu, 2 mioyo ya wale wamtafutao Bwana na ifurahi. 1
Isaiah 62:8Bwana ameapa kwa mkono wake wa kuume 2 na kwa mkono wake wenye nguvu: 1 “Kamwe sitawapa tena adui zenu 2 nafaka zenu kama chakula chao; 1 kamwe wageni hawatakunywa tena 2 divai mpya ambayo mmeitaabikia, 1
Joel 1:13Vaeni nguo ya gunia, enyi makuhani, muomboleze; 2 pigeni yowe, enyi mnaohudumu madhabahuni. 1 Njooni, vaeni nguo ya gunia usiku kucha, 2 enyi mnaohudumu mbele za Mungu wangu; 1 kwa kuwa sadaka za nafaka na sadaka za kinywaji 2 zimezuiliwa kufika katika nyumba ya Mungu wenu. 1