bible.software › Yoeli › Yoeli 1 › Yoeli 1:17
Yoeli 1:17
Mbegu zinakauka 2 chini ya mabonge ya udongo. 1 Ghala zimeachwa katika uharibifu, 2 ghala za nafaka zimebomolewa, 2 kwa maana hakuna nafaka. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
The seed is rotten under their clods, the garners are laid desolate, the barns are broken down; for the corn is withered.
In Context
16Je, chakula hakikukatiliwa mbali 2 mbele ya macho yetu: 1 furaha na shangwe 2 kutoka nyumba ya Mungu wetu? 1
18Jinsi gani ngʼombe wanavyolia! 2 Makundi ya mifugo yanahangaika 1 kwa sababu hawana malisho; 2 hata makundi ya kondoo yanateseka. 1
Read all of Yoeli 1
Cross References
Genesis 23:16Abrahamu akakubali masharti ya Efroni, akampimia ile fedha aliyotaja masikioni mwa Wahiti: Shekeli 400 za fedha kulingana na viwango vya uzito vilivyokuwa vikitumika wakati huo na wafanyabiashara.
This Verse In Other Editions
Study Yoeli 1:17