Joel 2:1
Pigeni tarumbeta katika Sayuni; 2 pigeni mbiu katika mlima wangu mtakatifu. 1 Wote waishio katika nchi na watetemeke, 2 kwa kuwa siku ya Bwana inakuja. Iko karibu, 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Numbers 10:2“Tengeneza tarumbeta mbili za fedha ya kufua, uzitumie kwa kuita jumuiya pamoja na wakati wa kuvunja makambi ili kuondoka.
Numbers 10:5Wakati mlio wa kujulisha hatari ukipigwa, makabila yaliyo na makambi upande wa mashariki yataondoka.
Ezra 9:3Niliposikia jambo hili nilirarua koti langu na joho langu, nikazingʼoa nywele za kichwa changu na ndevu zangu na kuketi nikishangaa.
Psalms 119:120Mwili wangu unatetemeka kwa kukuogopa wewe, 2 ninaziogopa sheria zako. 2 Kuitii Sheria Ya Bwana 1
Isaiah 13:6Ombolezeni, kwa maana siku ya Bwana i karibu, 2 itakuja kama uharibifu kutoka kwa Mwenyezi. + 13:6 Mwenyezi hapa ina maana ya Shaddai kwa Kiebrania. 1
Isaiah 66:2Je, mkono wangu haukufanya vitu hivi vyote, 2 hivyo vikapata kuwepo?” 4 asema Bwana. 1 “Mtu huyu ndiye ninayemthamini: 2 yeye ambaye ni mnyenyekevu 1 na mwenye roho yenye toba, 2 atetemekaye asikiapo neno langu. 1