The Bible Software
bible.softwareJoelJoel 2 › Joel 2:17

Joel 2:17

Makuhani, ambao wanahudumu mbele za Bwana, 2 na walie katikati ya ukumbi 2 wa Hekalu na madhabahu. 1 Waseme, “Wahurumie watu wako, Ee Bwana. 2 Usifanye urithi wako kitu cha kudharauliwa, 2 neno la dhihaka kati ya mataifa. 1 Kwa nini wasemezane miongoni mwao, 2 ‘Yuko wapi Mungu wao?’ ” 1 Jibu La Bwana 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

Let the priests, the ministers of the LORD, weep between the porch and the altar, and let them say, Spare thy people, O LORD, and give not thine heritage to reproach, that the heathen should rule over them: wherefore should they say among the people, Where is their God?

In Context

16Wakusanyeni watu, 2 wekeni wakfu kusanyiko; 1 waleteni pamoja wazee, 2 wakusanyeni watoto, 2 wale wanyonyao maziwa. 1 Bwana arusi na atoke chumbani mwake 2 na bibi arusi naye atoke katika chumba chake. 1

18Kisha Bwana atakuwa na wivu kwa ajili ya nchi yake 2 na kuwa na huruma juu ya watu wake. 1

Read all of Joel 2

Cross References

Exodus 34:9Mose akasema, “Ee Bwana, kama nimepata kibali mbele zako, basi Bwana uende pamoja nasi. Ingawa watu hawa ni wenye shingo ngumu, samehe uovu wetu na dhambi yetu, tuchukue kuwa urithi wako.” 1 Kufanya Agano Upya (Kutoka 23:14-19; Kumbukumbu 7:1-5; 16:1-17)

Deuteronomy 9:16Nilipotazama, niliona kuwa mmefanya dhambi dhidi ya Bwana Mungu wenu; mmejifanyia sanamu ya kusubu katika umbo la ndama. Mmegeuka upesi kutoka njia ile Bwana aliyowaagiza.

Deuteronomy 32:27Lakini nilihofia dhihaka za adui, 2 adui asije akashindwa kuelewa, 1 na kusema, ‘Mikono yetu imeshinda; 2 Bwana hakufanya yote haya.’ ” 1

1 Kings 6:3Baraza ya mbele ya Hekalu ilienea dhiraa ishirini kulingana na upana wa Hekalu na kujitokeza dhiraa kumi mbele ya Hekalu.

2 Chronicles 7:20ndipo nitakapoingʼoa Israeli kutoka nchi yangu niliyowapa, nami nitalikataa Hekalu hili nililolitakasa kwa ajili ya Jina langu. Nitalifanya kitu cha kudharauliwa na kitu cha kudhihakiwa miongoni mwa watu wote.

Nehemiah 9:36“Lakini tazama, sisi ni watumwa leo, watumwa katika nchi uliyowapa baba zetu ili wapate kula matunda yake na vitu vingine vizuri inayozalisha.

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Joel 2:17

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Joel 2:16Joel 2Joel 2:18 →