The Bible Software
bible.softwareKumbukumbuKumbukumbu 32 › Kumbukumbu 32:27

Kumbukumbu 32:27

Lakini nilihofia dhihaka za adui, 2 adui asije akashindwa kuelewa, 1 na kusema, ‘Mikono yetu imeshinda; 2 Bwana hakufanya yote haya.’ ” 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

Were it not that I feared the wrath of the enemy, lest their adversaries should behave themselves strangely, and lest they should say, Our hand is high, and the LORD hath not done all this.

In Context

26Nilisema ningewatawanya 2 na kufuta kumbukumbu lao 2 katika mwanadamu. 1

28Wao ni taifa lisilo na akili, 2 hakuna busara ndani yao. 1

Read all of Kumbukumbu 32

Cross References

Exodus 32:12Kwa nini Wamisri waseme, ‘Ni kwa nia mbaya aliwatoa Misri, ili awaue milimani na kuwafuta usoni mwa dunia’? Achilia mbali hasira yako kali, waonee huruma na usilete maafa juu ya watu wako.

Deuteronomy 9:28Watu wa nchi ile uliyotutoa sisi wasije wakasema, ‘Ni kwa sababu Bwana hakuweza kuwachukua mpaka nchi aliyokuwa amewaahidia, kwa sababu aliwachukia, akawaleta ili aje kuwaua jangwani.’

1 Samuel 12:22Kwa ajili ya jina lake kuu Bwana hatawakataa watu wake, kwa sababu ilimpendeza Bwana kuwafanya kuwa wake mwenyewe.

Psalms 115:1Sio kwetu sisi, Ee Bwana, sio kwetu sisi, 2 bali utukufu ni kwa jina lako, 1 kwa sababu ya upendo 2 na uaminifu wako. 1

Psalms 140:9Vichwa vya wanaonizunguka vifunikwe 2 na shida zinazosababishwa na midomo yao. 1

Isaiah 10:12Bwana atakapokuwa amemaliza kazi yake yote dhidi ya Mlima Sayuni na Yerusalemu, atasema, “Nitamwadhibu mfalme wa Ashuru kwa ajili ya majivuno ya ukaidi wa moyo wake na kutazama kwa macho yenye dharau.”

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Kumbukumbu 32:27

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Kumbukumbu 32:26Kumbukumbu 32Kumbukumbu 32:28 →