The Bible Software
bible.softwareJoelJoel 2 › Joel 2:22

Joel 2:22

Msiogope, enyi wanyama pori, 1 kwa kuwa mbuga za malisho yenu 2 zinarudia ubichi. 1 Miti nayo inazaa matunda, 2 mtini na mzabibu inatoa utajiri wake. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

Be not afraid, ye beasts of the field: for the pastures of the wilderness do spring, for the tree beareth her fruit, the fig tree and the vine do yield their strength.

In Context

21Usiogope, ee nchi; 2 furahi na kushangilia. 1 Hakika Bwana ametenda mambo makubwa. 2

23Furahini, enyi watu wa Sayuni, 2 shangilieni katika Bwana Mungu wenu, 1 kwa kuwa amewapa mvua za vuli 2 kwa kipimo cha haki. 1 Anawapelekea mvua nyingi, 2 mvua ya vuli na ya masika, kama mwanzoni. 1

Read all of Joel 2

Cross References

Leviticus 26:4nitawanyeshea mvua katika majira yake, nayo ardhi itatoa mazao yake, na miti ya mashambani itazaa matunda yake.

Psalms 36:6Haki yako ni kama milima mikubwa, 2 hukumu zako ni kama kilindi kikuu. 1 Ee Bwana, wewe huwahifadhi 2 mwanadamu na mnyama. 1

Psalms 65:13Penye nyanda za malisho pamejaa makundi ya wanyama, 2 na mabonde yamepambwa kwa mavuno; 2 vyote vinashangilia kwa furaha na kuimba.

Psalms 104:11Huwapa maji wanyama wote wa kondeni, 2 punda-mwitu huzima kiu yao. 1

Psalms 107:35Aligeuza jangwa likawa madimbwi ya maji, 2 nayo ardhi kame kuwa chemchemi za maji zitiririkazo; 1

Psalms 147:8Yeye huzifunika anga kwa mawingu, 2 huinyeshea ardhi mvua, 2 na kuzifanya nyasi kuota juu ya vilima. 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Joel 2:22

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Joel 2:21Joel 2Joel 2:23 →