Leviticus 26:4
nitawanyeshea mvua katika majira yake, nayo ardhi itatoa mazao yake, na miti ya mashambani itazaa matunda yake.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
3“ ‘Ikiwa mtafuata amri zangu na kuwa waangalifu kutii maagizo yangu,
Cross References
Leviticus 25:19Kisha nchi itazaa matunda yake, nanyi mtakula na kushiba na kuishi humo kwa salama.
Deuteronomy 11:13Hivyo kama mkiyatii maagizo yangu ninayowapa leo kwa uaminifu, yaani kwa kumpenda Bwana Mungu wenu, na kumtumikia kwa moyo wako wote na kwa roho yenu yote,
Deuteronomy 28:12Bwana atafungua mbingu, ghala zake za baraka, kukupa mvua kwa majira yake na kubariki kazi zako zote za mikono yako. Utakopesha mataifa mengi lakini hutakopa kwa yeyote.
Job 5:10Yeye huipa nchi mvua, 2 huyapeleka maji kunyesha mashamba. 1
Job 38:25Ni nani aliyepasua mifereji kwa ajili ya maji mengi ya mvua yaendayo kasi 2 na njia ya umeme wa radi, 1
Psalms 65:10Umeilowesha mifereji yake 2 na kusawazisha kingo zake; 1 umeilainisha kwa manyunyu 2 na kuibariki mimea yake. 1