Joel 2:24
Sakafu za kupuria zitajaa nafaka, 2 mapipa yatafurika mvinyo mpya na mafuta. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And the floors shall be full of wheat, and the vats shall overflow with wine and oil.
In Context
Cross References
Leviticus 26:10Wakati wa kuvuna mtakuwa bado mnakula mavuno ya mwaka uliopita, na itawalazimu kuyaondoa ghalani ili mpate nafasi ya mavuno mapya.
Ezekiel 36:8“ ‘Lakini ninyi, ee milima ya Israeli, mtatoa matawi na matunda kwa ajili ya watu wangu Israeli, kwa sababu hivi karibuni watakuja nyumbani.
Joel 3:18“Katika siku hiyo milima itadondosha divai mpya, 2 na vilima vitatiririka maziwa; 2 mabonde yote ya Yuda yatatiririka maji. 1 Chemchemi itatiririka kutoka kwenye nyumba ya Bwana 2 na kunywesha Bonde la Shitimu. + 3:18 Au: Bonde la Migunga . 1
Malachi 3:10Leteni zaka kamili ghalani, ili kuwe na chakula katika nyumba yangu. Nijaribuni katika hili,” asema Bwana Mwenye Nguvu Zote, “nanyi mwone kama sitawafungulia madirisha ya mbinguni na kuwamwagieni baraka nyingi mpaka mkose nafasi ya kutosha.