Joel 2:29
Hata juu ya watumishi wangu, wanaume kwa wanawake, 2 katika siku zile nitamimina Roho wangu. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And also upon the servants and upon the handmaids in those days will I pour out my spirit.
In Context
30Nami nitaonyesha maajabu katika mbingu 2 na duniani: 2 damu, moto na mawimbi ya moshi. 1
Cross References
Galatians 3:28Wala hakuna tena Myahudi au Myunani, mtumwa au mtu huru, mwanaume wala mwanamke, maana nyote mmekuwa wamoja ndani ya Kristo Yesu.