Joel 2:30
Nami nitaonyesha maajabu katika mbingu 2 na duniani: 2 damu, moto na mawimbi ya moshi. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And I will shew wonders in the heavens and in the earth, blood, and fire, and pillars of smoke.
In Context
29Hata juu ya watumishi wangu, wanaume kwa wanawake, 2 katika siku zile nitamimina Roho wangu. 1
Cross References
Genesis 19:28Akatazama upande wa Sodoma na Gomora, kuelekea nchi yote ya tambarare, akaona moshi mzito ukipanda kutoka kwenye nchi, kama moshi utokao kwenye tanuru.
Judges 20:38Waisraeli walikuwa wamepatana na hao waviziaji kuwa wangefanya lipande wingu kubwa la moshi kutoka huo mji,
Song of Solomon 3:6Ni nani huyu anayekuja kutoka jangwani 2 kama nguzo ya moshi, 1 anayenukia manemane na uvumba 2 iliyotengenezwa kwa vikolezo vyote 2 vya mfanyabiashara? 1
Mark 13:24“Lakini katika siku hizo, baada ya hiyo dhiki, 1 “ ‘jua litatiwa giza 2 nao mwezi hautatoa nuru yake; 1
Luke 21:25“Kutakuwa na ishara katika jua, mwezi na nyota. Hapa duniani, mataifa yatakuwa katika dhiki na fadhaa kutokana na ngurumo na misukosuko ya bahari.
Revelation 6:12Nikatazama akiivunja ile lakiri ya sita. Pakatokea tetemeko kuu la nchi, na jua likawa jeusi kama nguo ya gunia iliyotengenezwa kwa singa za mbuzi, na mwezi wote ukawa mwekundu kama damu.