Joel 2:3
Mbele yao moto unateketeza, 2 nyuma yao miali ya moto 2 inawaka kwa nguvu. 1 Mbele yao nchi iko kama bustani ya Edeni, 2 nyuma yao ni jangwa lisilofaa: 2 hakuna kitu kinachowaepuka. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
4Wanaonekana kama farasi; 2 wanakwenda mbio 2 kama askari wapanda farasi. 1
Cross References
Genesis 2:8Basi Bwana Mungu alikuwa ameotesha bustani upande wa mashariki, katika Edeni, huko akamweka huyo mtu aliyemuumba.
Exodus 10:5Nao watafunika uso wa ardhi hata usionekane. Watatafuna mabaki machache yaliyobakizwa baada ya ile mvua ya mawe, yaani pamoja na kila mti unaoota katika mashamba yenu.
Psalms 50:3Mungu wetu anakuja na hatakaa kimya, 2 moto uteketezao unamtangulia, 2 akiwa amezungukwa na tufani kali. 1
Isaiah 33:4Mateka yenu, enyi mataifa, yamevunwa kama vile wafanyavyo madumadu, 2 kama kundi la nzige watu huvamia juu yake. 1
Jeremiah 5:17Watayaangamiza mazao yenu na chakula chenu, 2 wataangamiza wana wenu na mabinti zenu; 1 wataangamiza makundi yenu ya kondoo na ya ngʼombe, 2 wataangamiza mizabibu yenu na mitini yenu. 1 Kwa upanga wataangamiza 2 miji yenye maboma mliyoitumainia.
Joel 1:4Kilichosazwa na kundi la tunutu 2 nzige wakubwa wamekula, 1 kilichosazwa na nzige wakubwa 2 parare wamekula, 1 kilichosazwa na parare 2 madumadu wamekula. 1