Genesis 2:8
Basi Bwana Mungu alikuwa ameotesha bustani upande wa mashariki, katika Edeni, huko akamweka huyo mtu aliyemuumba.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And the LORD God planted a garden eastward in Eden; and there he put the man whom he had formed.
In Context
Cross References
Genesis 3:24Baada ya kumfukuzia mbali Adamu, Mungu akaweka makerubi mashariki ya Bustani ya Edeni, pamoja na upanga wa moto ukimulika huku na huko kulinda njia ya kuuendea mti wa uzima.
Genesis 13:10Loti akatazama akaona lile bonde lote la Yordani kuwa lilikuwa na maji tele, kama bustani ya Bwana, kama nchi ya Misri, kuelekea Soari. (Hii ilikuwa kabla Bwana hajaharibu Sodoma na Gomora.)
Isaiah 51:3Hakika Bwana ataifariji Sayuni, 2 naye atayaangalia kwa huruma magofu yake yote; 1 atayafanya majangwa yake yawe kama Edeni, 2 nazo sehemu zake zisizolimika ziwe kama bustani ya Bwana. 1 Shangwe na furaha zitakuwako ndani yake, 2 shukrani na sauti za kuimba. 1
Ezekiel 28:13Ulikuwa ndani ya Edeni, 2 bustani ya Mungu; 1 kila kito cha thamani kilikupamba: 2 akiki nyekundu, yakuti manjano na zumaridi, 2 krisolitho, shohamu na yaspi, 2 yakuti samawi, almasi na zabarajadi. 1 Kuwekwa kwa hayo mapambo na kushikizwa kwake 2 kulifanywa kwa dhahabu; 2 siku ile ulipoumbwa yaliandaliwa tayari. 1
Ezekiel 31:16Niliyafanya mataifa yatetemeke kwa kishindo cha kuanguka kwake wakati nilipoushusha chini kaburini pamoja na wale washukao shimoni. Ndipo miti yote ya Edeni, miti iliyo bora kuliko yote na iliyo mizuri sana ya Lebanoni, miti yote ile iliyokunywa maji vizuri, ilifarijika hapa duniani.
Joel 2:3Mbele yao moto unateketeza, 2 nyuma yao miali ya moto 2 inawaka kwa nguvu. 1 Mbele yao nchi iko kama bustani ya Edeni, 2 nyuma yao ni jangwa lisilofaa: 2 hakuna kitu kinachowaepuka. 1