The Bible Software
bible.softwareJoelJoel 2 › Joel 2:5

Joel 2:5

Wanatoa sauti kama magari ya vita, 2 wanaporukaruka juu ya vilele vya milima, 1 kama mlio wa miali ya moto ilayo mabua, 2 kama jeshi kubwa lililojipanga kwa ajili ya vita. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

Like the noise of chariots on the tops of mountains shall they leap, like the noise of a flame of fire that devoureth the stubble, as a strong people set in battle array.

In Context

4Wanaonekana kama farasi; 2 wanakwenda mbio 2 kama askari wapanda farasi. 1

6Wanapoonekana, mataifa yanakuwa katika maumivu makuu; 2 kila uso unabadilika rangi. 1

Read all of Joel 2

Cross References

Job 39:20Je, wewe humfanya farasi aruke kama nzige, 2 akistaajabisha kwa tishio la mlio wake wa majivuno? 1

Isaiah 30:30Bwana atawasababisha watu waisikie sauti yake ya utukufu, 2 naye atawafanya wauone mkono wake ukishuka 1 pamoja na hasira yake kali na moto ulao, 2 kukiwa na tufani ya mvua, 2 ngurumo za radi na mvua ya mawe. 1

Nahum 3:2Kelele za mijeledi, 2 vishindo vya magurudumu, 1 farasi waendao mbio 2 na mshtuo wa magari ya vita! 1

Revelation 9:9Walikuwa na dirii kama za chuma, na sauti za mabawa yao zilikuwa kama ngurumo za farasi wengi na magari mengi yakikimbilia vitani.

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Joel 2:5

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Joel 2:4Joel 2Joel 2:6 →