The Bible Software
bible.softwareNahumuNahumu 3 › Nahumu 3:2

Nahumu 3:2

Kelele za mijeledi, 2 vishindo vya magurudumu, 1 farasi waendao mbio 2 na mshtuo wa magari ya vita! 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

The noise of a whip, and the noise of the rattling of the wheels, and of the pransing horses, and of the jumping chariots.

In Context

1Ole wa mji umwagao damu, 2 uliojaa uongo, 1 umejaa nyara, 2 usiokosa kuwa na vitu vya kuteka nyara. 1

3Wapanda farasi wanaenda mbio, 2 panga zinameremeta, 2 na mikuki inangʼaa! 1 Majeruhi wengi, 2 malundo ya maiti, 1 idadi kubwa ya miili isiyohesabika, 2 watu wanajikwaa juu ya mizoga: 1

Read all of Nahumu 3

Cross References

Judges 5:22Ndipo kwato za farasi zikafanya mshindo: 2 farasi wake wenye nguvu 2 huenda mbio kwa kurukaruka. 1

Isaiah 9:5Kila kiatu cha askari kilichotumiwa vitani, 2 na kila vazi lililovingirishwa katika damu 1 vitawekwa kwa ajili ya kuchomwa, 2 vitakuwa kuni za kuwasha moto. 1

Joel 2:4Wanaonekana kama farasi; 2 wanakwenda mbio 2 kama askari wapanda farasi. 1

Nahum 2:3Ngao za askari wake ni nyekundu, 2 mashujaa wamevaa nguo nyekundu. 1 Chuma kwenye magari ya vita chametameta, 2 katika siku aliyoyaweka tayari, 2 mikuki ya mierezi inametameta. 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Nahumu 3:2

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Nahumu 3:1Nahumu 3Nahumu 3:3 →