Joel 2:8
Hakuna anayemsukuma mwenzake; 2 kila mmoja anakwenda mbele moja kwa moja. 1 Wanapita katika vizuizi 2 bila kuharibu safu zao. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
2 Chronicles 32:5Hezekia akafanya kazi kwa bidii kukarabati sehemu zote zilizokuwa zimebomoka za ukuta na kujenga minara juu yake. Akajenga ukuta mwingine nje ya ule uliokuwepo na kuimarisha Milo + 32:5 Milo maana yake Boma la Ngome. katika Mji wa Daudi. Akatengeneza pia silaha nyingi na ngao.
Nehemiah 4:23Mimi, wala ndugu zangu, wala watu wangu, wala walinzi waliokuwa pamoja nami hatukuvua nguo zetu. Kila mmoja alikuwa na silaha yake, hata alipokwenda kuchota maji.
Job 36:12Lakini wasiposikiliza, 2 wataangamia kwa upanga, 2 nao watakufa pasipo maarifa. 1
Song of Solomon 4:13Mimea yako ni bustani ya mikomamanga 2 yenye matunda mazuri sana, 2 yenye hina na nardo, 1