The Bible Software
bible.softwareJoelJoel 2 › Joel 2:7

Joel 2:7

Wanashambulia kama wapiganaji wa vita; 2 wanapanda kuta kama askari. 1 Wote wanatembea katika safu, 2 hawapotoshi safu zao. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

They shall run like mighty men; they shall climb the wall like men of war; and they shall march every one on his ways, and they shall not break their ranks:

In Context

6Wanapoonekana, mataifa yanakuwa katika maumivu makuu; 2 kila uso unabadilika rangi. 1

8Hakuna anayemsukuma mwenzake; 2 kila mmoja anakwenda mbele moja kwa moja. 1 Wanapita katika vizuizi 2 bila kuharibu safu zao. 1

Read all of Joel 2

Cross References

2 Samuel 1:23“Sauli na Yonathani, 2 maishani walipendwa na kuneemeka, 2 na katika kifo hawakutengana. 1 Walikuwa wepesi kuliko tai, 2 walikuwa na nguvu kuliko simba. 1

2 Samuel 5:8Siku ile, Daudi akasema, “Yeyote ambaye atawashinda Wayebusi, atatumia huo mfereji kuwafikia hao ‘viwete na vipofu’ ambao ni adui za Daudi.” Ndiyo sababu wanasema, “ ‘Vipofu na viwete’ hawataingia kwenye jumba la ufalme.”

Psalms 19:5linafanana na bwana arusi 2 akitoka chumbani mwake, 1 kama shujaa afurahiavyo 2 kukamilisha kushindana kwake. 1

Isaiah 5:26Yeye anainua bendera kwa ajili ya mataifa yaliyo mbali, 2 anapiga filimbi kwa ajili ya wale walio kwenye miisho ya dunia. 1 Tazama wamekuja, 2 kwa kasi na kwa haraka! 1

Joel 2:9Wanaenda kasi kuingia mjini; 2 wanakimbia ukutani. 1 Wanaingia ndani ya nyumba; 2 kwa kuingilia madirishani kama wevi. 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Joel 2:7

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Joel 2:6Joel 2Joel 2:8 →