Joel 3:21
Hatia yao ya damu, ambayo sijasamehe, 2 nitasamehe.” Bwana anakaa Sayuni!
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
For I will cleanse their blood that I have not cleansed: for the LORD dwelleth in Zion.
In Context
20Yuda itakaliwa na watu milele 2 na Yerusalemu itadumu vizazi vyote. 1
Cross References
Ezekiel 36:25Nitawanyunyizia maji safi, nanyi mtakuwa safi, nitawatakasa kutoka uchafu wenu wote na kutoka sanamu zenu zote.
Ezekiel 48:35“Urefu wote kuzunguka utakuwa dhiraa 18,000. + 48:35 Dhiraa 18,000 ni sawa na kilomita 8.1. “Nalo jina la mji huo kuanzia wakati huo na kuendelea litakuwa: Bwana yupo hapa.”
Matthew 27:25Watu wote wakajibu, “Damu yake na iwe juu yetu na juu ya watoto wetu!”