The Bible Software
bible.softwareJoelJoel 3 › Joel 3:20

Joel 3:20

Yuda itakaliwa na watu milele 2 na Yerusalemu itadumu vizazi vyote. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

But Judah shall dwell for ever, and Jerusalem from generation to generation.

In Context

19Lakini Misri itakuwa ukiwa, 2 Edomu itakuwa jangwa tupu, 1 kwa sababu ya jeuri waliofanya kwa watu wa Yuda, 2 ambao katika nchi yao 2 walimwaga damu isiyo na hatia. 1

21Hatia yao ya damu, ambayo sijasamehe, 2 nitasamehe.” Bwana anakaa Sayuni!

Read all of Joel 3

Cross References

Isaiah 33:20Mtazame Sayuni, mji wa sikukuu zetu; 2 macho yenu yatauona Yerusalemu, 2 mahali pa amani pa kuishi, hema ambalo halitaondolewa, 1 nguzo zake hazitangʼolewa kamwe, 2 wala hakuna kamba yake yoyote itakayokatika. 1

Amos 9:15Nitaipanda Israeli katika nchi yao wenyewe, 2 hawatangʼolewa tena 2 kutoka nchi ambayo nimewapa,” 4 asema Bwana Mungu wenu.

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Joel 3:20

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Joel 3:19Joel 3Joel 3:21 →