Joel 3:9
Tangazeni hili miongoni mwa mataifa: 2 Jiandaeni kwa vita! 1 Amsha askari! 2 Wanaume wote wapiganaji 2 wasogee karibu na kushambulia. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Isaiah 8:9Inueni kilio cha vita, enyi mataifa, 2 na mkavunjwevunjwe! 2 Sikilizeni, enyi nyote nchi za mbali. 1 Jiandaeni kwa vita, nanyi mkavunjwevunjwe! 2 Jiandaeni kwa vita, nanyi mkavunjwevunjwe! 1
Jeremiah 31:10“Sikieni neno la Bwana, enyi mataifa, 2 litangazeni katika nchi za pwani ya mbali: 1 ‘Yeye aliyewatawanya Israeli atawakusanya 2 na atalichunga kundi lake la kondoo kama mchungaji.’ 1
Jeremiah 50:2“Tangazeni na mhubiri katikati ya mataifa, 2 twekeni bendera na mkahubiri; 2 msiache kitu chochote, bali semeni, 1 ‘Babeli utatekwa; 2 Beli ataaibishwa, 2 Merodaki atajazwa na hofu kuu. 1 Sanamu zake zitaaibishwa 2 na vinyago vyake vitajazwa hofu kuu.’ 1
Ezekiel 38:7“ ‘Jiandae, uwe tayari, wewe na makundi yako yote ya wajeuri yaliyokusanyika pamoja nawe, nawe waamrishe.