The Bible Software
bible.softwareJoelJoel 3 › Joel 3:10

Joel 3:10

Majembe yenu yafueni yawe panga 2 na miundu yenu ya kukatia iwe mikuki. 1 Aliye dhaifu na aseme, 2 “Mimi nina nguvu!” 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

Beat your plowshares into swords, and your pruninghooks into spears: let the weak say, I am strong.

In Context

9Tangazeni hili miongoni mwa mataifa: 2 Jiandaeni kwa vita! 1 Amsha askari! 2 Wanaume wote wapiganaji 2 wasogee karibu na kushambulia. 1

11Njooni haraka, ninyi mataifa yote kutoka pande zote, 2 kusanyikeni huko. 1 Shusha wapiganaji wako, Ee Bwana! 1

Read all of Joel 3

Cross References

2 Chronicles 25:8Hata kama ukienda na kupigana kwa ujasiri katika vita, Mungu atakufanya ukimbie mbele ya adui, kwa kuwa Mungu anao uwezo wa kusaidia au wa kuangusha.”

Micah 4:3Atahukumu kati ya mataifa mengi, 2 na ataamua migogoro ya mataifa 2 yenye nguvu na yaliyo mbali. 1 Watafua panga zao ziwe majembe, 2 na mikuki yao kuwa miundu ya kukata matawi. 1 Taifa halitainua upanga dhidi ya taifa jingine, 2 wala hawatajifunza vita tena. 1

Luke 13:12Yesu alipomwona, akamwita, akamwambia, “Mwanamke, uwe huru, umepona ugonjwa wako.”

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Joel 3:10

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Joel 3:9Joel 3Joel 3:11 →