John 1:12
Bali wote waliompokea, aliwapa uwezo wa kufanyika watoto wa Mungu, ndio wale waliaminio jina lake.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
11Alikuja kwa walio wake, lakini wao hawakumpokea.
Cross References
Isaiah 56:5hao nitawapa ndani ya Hekalu langu na kuta zake 2 kumbukumbu na jina bora 2 kuliko kuwa na watoto wa kiume na wa kike: 1 nitawapa jina lidumulo milele, 2 ambalo halitakatiliwa mbali. 1
Hosea 1:10“Hata hivyo Waisraeli watakuwa kama mchanga kando ya bahari, ambao hauwezi kupimika wala kuhesabiwa. Mahali pale walipoambiwa, ‘Ninyi si watu wangu,’ wao wataitwa ‘wana wa Mungu aliye hai.’
Matthew 12:21Katika Jina lake mataifa 2 wataweka tumaini lao.” 1 Yesu Na Beelzebuli (Marko 3:20-30; Luka 11:14-23)
John 1:7Alikuja kama shahidi apate kuishuhudia hiyo nuru, ili kwa kupitia kwake watu wote waweze kuamini.
John 3:18Yeyote amwaminiye hahukumiwi, lakini asiyeamini amekwisha kuhukumiwa, kwa sababu hakuliamini jina la Mwana pekee wa Mungu.
John 20:31Lakini haya yameandikwa ili mweze kuamini ya kuwa Yesu ndiye Kristo, + 20:31 Kristo maana yake ni Masiya , yaani Aliyetiwa mafuta. Mwana wa Mungu, na kwa kumwamini mpate uzima katika jina lake.