Matthew 12:21
Katika Jina lake mataifa 2 wataweka tumaini lao.” 1 Yesu Na Beelzebuli (Marko 3:20-30; Luka 11:14-23)
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And in his name shall the Gentiles trust.
In Context
Cross References
Isaiah 42:4hatazimia roho wala kukata tamaa, 1 mpaka atakaposimamisha haki juu ya dunia. 2 Visiwa vitaweka tumaini lao katika sheria yake.” 1
Ephesians 1:12ili kwamba, sisi tuliokuwa wa kwanza kuweka tumaini katika Kristo, tupate kuishi kwa sifa ya utukufu wake.