John 1:2
Tangu mwanzo huyo Neno alikuwa pamoja na Mungu.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
The same was in the beginning with God.
In Context
1Hapo mwanzo alikuwako Neno, huyo Neno alikuwa pamoja na Mungu, naye Neno alikuwa Mungu.
3Vitu vyote viliumbwa kwa yeye, wala pasipo yeye hakuna chochote kilichoumbwa ambacho kimeumbwa.
Cross References
Jeremiah 20:9Lakini kama nikisema, “Sitamtaja 2 wala kusema tena kwa jina lake,” 1 neno lake linawaka ndani ya moyo wangu kama moto, 2 moto uliofungwa ndani ya mifupa yangu. 1 Nimechoka sana kwa kulizuia ndani mwangu; 2 kweli, siwezi kujizuia. 1