The Bible Software
bible.softwareJohnJohn 1 › John 1:3

John 1:3

Vitu vyote viliumbwa kwa yeye, wala pasipo yeye hakuna chochote kilichoumbwa ambacho kimeumbwa.

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

All things were made by him; and without him was not any thing made that was made.

In Context

2Tangu mwanzo huyo Neno alikuwa pamoja na Mungu.

4Ndani yake ndimo ulimokuwa uzima na huo uzima ulikuwa nuru ya watu.

Read all of John 1

Cross References

Genesis 1:1Hapo mwanzo Mungu aliumba mbingu na dunia.

Psalms 33:6Kwa neno la Bwana mbingu ziliumbwa, 2 jeshi lao la angani kwa pumzi ya kinywa chake. 1

Isaiah 45:12Mimi ndiye niliyeumba dunia 2 na kumuumba mwanadamu juu yake. 1 Mikono yangu mwenyewe ndiyo iliyozitanda mbingu, 2 nikayapanga majeshi yake yote ya angani. 1

John 1:10Huyo Neno alikuwako ulimwenguni na ingawa ulimwengu uliumbwa kupitia kwake, haukumtambua.

1 Corinthians 8:6kwetu sisi yuko Mungu mmoja, aliye Baba, ambaye vitu vyote vyatoka kwake na kwa ajili yake sisi twaishi; na kuna Bwana mmoja tu, Yesu Kristo, ambaye kwa yeye vitu vyote vimekuwepo na kwa yeye tunaishi.

Colossians 1:16Kwake yeye vitu vyote vilivyoko mbinguni na juu ya nchi viliumbwa: vitu vinavyoonekana na visivyoonekana, viwe ni viti vya enzi au falme, au wenye mamlaka au watawala; vitu vyote viliumbwa na yeye na kwa ajili yake.

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)聖書 (日本語)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)

Study John 1:3

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeAlbert BarnesJohn WesleyJohn CalvinScofieldWilliam BurkittFamily Bible NotesThe Fourfold GospelJohn LightfootGeneva Bible Notes (1599)
← John 1:2John 1John 1:4 →