The Bible Software
bible.softwareJohnJohn 10 › John 10:2

John 10:2

Yeye anayeingia kwa kupitia kwenye lango ndiye mchungaji wa kondoo.

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

But he that entereth in by the door is the shepherd of the sheep.

In Context

1“Amin, amin nawaambia, yeye asiyeingia katika zizi la kondoo kwa kupitia kwenye lango, lakini akwea kuingia ndani kwa njia nyingine, ni mwizi na mnyangʼanyi.

3Mlinzi humfungulia lango na kondoo huisikia sauti yake. Huwaita kondoo wake kwa majina yao na kuwatoa nje ya zizi.

Read all of John 10

Cross References

Psalms 23:1Bwana ndiye mchungaji wangu, 2 sitapungukiwa na kitu. 1

Ecclesiastes 12:11Maneno ya wenye hekima ni kama mchokoro, mithali zao zilizokusanywa pamoja ni kama misumari iliyogongomewa ikawa imara, yaliyotolewa na Mchungaji mmoja.

Isaiah 63:11Ndipo watu wake wakazikumbuka siku zilizopita, 2 siku za Mose na watu wake: 1 yuko wapi yeye aliyewaleta kupitia katikati ya bahari, 2 pamoja na wachungaji wa kundi lake? 1 Yuko wapi yule aliyeweka 2 Roho wake Mtakatifu katikati yao, 1

Micah 5:5Naye atakuwa amani yao. 1 Ukombozi Na Uharibifu 1 Wakati Mwashuru atakapovamia nchi yetu 2 na kupita katika ngome zetu, 1 tutawainua wachungaji saba dhidi yake, 2 hata viongozi wanane wa watu. 1

Zechariah 11:5Wanunuzi wake huwachinja na kuondoka pasipo kuadhibiwa. Wale wanaowauza husema, ‘ Bwana asifiwe, mimi ni tajiri!’ Wachungaji wao wenyewe hawawahurumii.

Zechariah 13:7“Amka, ee upanga, dhidi ya mchungaji wangu, 2 dhidi ya mtu aliye karibu nami!” 2 asema Bwana Mwenye Nguvu Zote. 1 “Mpige mchungaji, 2 nao kondoo watatawanyika, 1 nami nitageuza mkono wangu 2 dhidi ya walio wadogo, 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)聖書 (日本語)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)

Study John 10:2

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeAlbert BarnesJohn WesleyJohn CalvinScofieldWilliam BurkittFamily Bible NotesThe Fourfold GospelJohn LightfootGeneva Bible Notes (1599)
← John 10:1John 10John 10:3 →