Yohana 10:3
Mlinzi humfungulia lango na kondoo huisikia sauti yake. Huwaita kondoo wake kwa majina yao na kuwatoa nje ya zizi.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
2Yeye anayeingia kwa kupitia kwenye lango ndiye mchungaji wa kondoo.
4Akiisha kuwatoa wote nje, hutangulia mbele yao na kondoo humfuata kwa kuwa wanaijua sauti yake.
Cross References
Psalms 23:2Hunilaza katika malisho 2 ya majani mabichi, 1 kando ya maji matulivu huniongoza, 2
Psalms 80:1Ee Mchungaji wa Israeli tusikie, 2 wewe umwongozaye Yosefu kama kundi; 1 wewe uketiye katika kiti cha enzi 2 katikati ya makerubi, angaza 2
Isaiah 40:11Huchunga kundi lake kama mchungaji wa mifugo: 2 Hukusanya wana-kondoo katika mikono yake 1 na kuwachukua karibu na moyo wake, 2 huwaongoza taratibu wale wanyonyeshao. 1
Isaiah 49:9kuwaambia mateka, ‘Tokeni nje,’ 2 nao wale walio gizani, ‘Kuweni huru!’ 1 “Watajilisha kando ya barabara 2 na kupata malisho yao juu ya kila kilima kilicho kitupu. 1
Jeremiah 31:8Tazama, nitawaleta kutoka nchi ya kaskazini 2 na kuwakusanya kutoka miisho ya dunia. 1 Miongoni mwao watakuwepo vipofu na viwete, 2 mama wajawazito na wenye utungu wa kuzaa. 2 Umati mkubwa wa watu utarudi. 1
Ezekiel 34:11“ ‘Kwa kuwa hili ndilo Bwana Mwenyezi asemalo: Mimi mwenyewe nitawaulizia kondoo wangu na kuwatafuta.