John 10:30
Mimi na Baba yangu tu umoja.”
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
29Baba yangu aliyenipa hawa ni mkuu kuliko wote na hakuna awezaye kuwapokonya kutoka mikononi mwake.
31Kwa mara nyingine Wayahudi wakainua mawe ili wampige nayo,
Cross References
Matthew 28:19Kwa sababu hii, enendeni mkawafanye mataifa yote kuwa wanafunzi, mkiwabatiza kwa Jina la Baba na la Mwana na la Roho Mtakatifu,
John 5:17Yesu akawajibu, “Baba yangu anafanya kazi yake daima hata siku hii ya leo, nami pia ninafanya kazi.”
John 8:58Yesu akawaambia, “Amin, amin nawaambia, kabla Abrahamu hajakuwako, ‘Mimi niko.’ ”
John 14:23Yesu akamjibu, “Mtu yeyote akinipenda atalishika neno langu na Baba yangu atampenda, nasi tutakuja kwake na kufanya makao yetu kwake.
John 17:10Wote walio wangu ni wako na walio wako ni wangu, nami nimetukuzwa ndani yao.
1 Timothy 3:16Bila shaka yoyote, siri ya utauwa ni kubwa: 1 Alidhihirishwa katika mwili wa kibinadamu, 2 akathibitishwa kuwa na haki katika Roho, 1 akaonekana na malaika, 2 akahubiriwa miongoni mwa mataifa, 1 akaaminiwa ulimwenguni, 2 akachukuliwa juu katika utukufu.