John 11:15
Hata hivyo nafurahi kwa kuwa sikuwepo huko kabla ya Lazaro kufa, ili mpate kuamini. Lakini sasa twendeni kwake.”
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
14Kwa hiyo Yesu akawaambia waziwazi, “Lazaro amekufa.
Cross References
Genesis 26:24Usiku ule Bwana akamtokea, akamwambia, “Mimi ndimi Mungu wa Abrahamu baba yako. Usiogope, kwa maana mimi niko pamoja nawe, nitakubariki na kuongeza idadi ya wazao wako kwa ajili ya Abrahamu mtumishi wangu.”
Psalms 105:14Hakuruhusu mtu yeyote awaonee; 2 kwa ajili yao aliwakemea wafalme, akisema: 1
Isaiah 65:8Hili ndilo asemalo Bwana: 1 “Kama vile divai mpya ingali bado inapatikana 2 katika kishada cha zabibu, 1 nao watu husema, ‘Usikiharibu, 2 kwa kuwa bado kuna kitu kizuri ndani yake,’ 1 hivyo ndivyo nitakavyofanya kwa ajili ya watumishi wangu; 2 sitawaangamiza wote. 1
John 11:4Lakini Yesu aliposikia hayo, akasema, “Ugonjwa huu hautaleta mauti bali umetokea ili kudhihirisha utukufu wa Mungu, ili Mwana wa Mungu apate kutukuzwa kutokana na ugonjwa huu.”
John 12:30Yesu akawaambia, “Sauti hii imesikika kwa faida yenu, wala si kwa faida yangu.
John 17:19Kwa ajili yao najiweka wakfu ili wao nao wapate kutakaswa katika ile kweli. 1 Yesu Awaombea Wote Wamwaminio