John 17:19
Kwa ajili yao najiweka wakfu ili wao nao wapate kutakaswa katika ile kweli. 1 Yesu Awaombea Wote Wamwaminio
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And for their sakes I sanctify myself, that they also might be sanctified through the truth.
In Context
18Kama vile ulivyonituma mimi ulimwenguni, nami nawatuma vivyo hivyo.
20“Siwaombei hawa peke yao, bali nawaombea na wale wote watakaoniamini kupitia neno lao
Cross References
Numbers 7:15fahali mmoja mchanga, kondoo dume mmoja na mwana-kondoo dume mmoja wa mwaka mmoja, kwa ajili ya sadaka ya kuteketezwa;
Jeremiah 1:5“Kabla sijakuumba ndani ya tumbo la mama yako, nilikujua; 2 kabla hujazaliwa nilikutenga kwa kazi maalum; 2 nilikuweka uwe nabii kwa mataifa.”
John 17:17Uwatakase kwa ile kweli, neno lako ndilo kweli.
2 Corinthians 4:15Haya yote ni kwa faida yenu, ili kwamba neema ile inavyowafikia watu wengi zaidi na zaidi, ipate kusababisha shukrani nyingi kwa utukufu wa Mungu.
1 Thessalonians 4:7Kwa maana Mungu hakutuitia uchafu, bali utakatifu.
Titus 2:14Ndiye alijitoa nafsi yake kwa ajili yetu, ili atukomboe kutoka uovu wote na kujisafishia watu kuwa mali yake Mwenyewe, yaani, wale walio na juhudi katika kutenda mema.