The Bible Software
bible.softwareJohnJohn 11 › John 11:18

John 11:18

Basi Bethania ulikuwa karibu na Yerusalemu umbali wa karibu maili mbili, + 11:18 Maili mbili ni kama kilomita tatu.

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

Now Bethany was nigh unto Jerusalem, about fifteen furlongs off:

In Context

17Yesu alipowasili huko alikuta Lazaro amekuwa kaburini siku nne.

19na Wayahudi wengi walikuwa wamekuja kuwafariji Martha na Maria kwa ajili ya kufiwa na ndugu yao.

Read all of John 11

Cross References

John 6:19Wanafunzi walipokuwa wamekwenda mwendo wa karibu maili tatu au nne, + 6:19 Maili tatu au nne ni kama kilomita 5 au 6. walimwona Yesu akitembea juu ya maji akikaribia mashua, nao wakaogopa sana.

Revelation 14:20Lile shinikizo likakanyagwa nje ya mji, nayo damu ikatiririka kama mafuriko kutoka hilo shinikizo kufikia kimo cha hatamu za farasi, + 14:20 Kimo cha hatamu za farasi ni kama mita moja na nusu. kwa umbali wa maili 200. + 14:20 Maili 200 ni sawa na kilomita 320.

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)聖書 (日本語)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)

Study John 11:18

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeAlbert BarnesJohn WesleyJohn CalvinScofieldWilliam BurkittFamily Bible NotesThe Fourfold GospelJohn LightfootGeneva Bible Notes (1599)
← John 11:17John 11John 11:19 →