The Bible Software
bible.softwareJohnJohn 6 › John 6:19

John 6:19

Wanafunzi walipokuwa wamekwenda mwendo wa karibu maili tatu au nne, + 6:19 Maili tatu au nne ni kama kilomita 5 au 6. walimwona Yesu akitembea juu ya maji akikaribia mashua, nao wakaogopa sana.

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

So when they had rowed about five and twenty or thirty furlongs, they see Jesus walking on the sea, and drawing nigh unto the ship: and they were afraid.

In Context

18Bahari ikachafuka kwa sababu upepo mkali ulikuwa unavuma.

20Lakini Yesu akawaambia, “Ni mimi. Msiogope.”

Read all of John 6

Cross References

Job 9:8Yeye peke yake huzitandaza mbingu 2 na kuyakanyaga mawimbi ya bahari. 1

Psalms 93:4Yeye ni mkuu kuliko ngurumo ya maji makuu, 2 ni mkuu kuliko mawimbi ya bahari: 2 Bwana aishiye juu sana ni mkuu. 1

Jonah 1:13Badala yake, wale watu walijitahidi kupiga makasia wawezavyo ili wapate kurudi pwani. Lakini hawakuweza, kwa kuwa bahari ilizidi kuchafuka kuliko mwanzo.

Mark 6:47Ilipofika jioni, ile mashua ilikuwa imefika katikati ya bahari, na Yesu alikuwa peke yake katika nchi kavu.

Luke 24:36Walipokuwa bado wanazungumza hayo, Yesu mwenyewe akasimama katikati yao, akasema, “Amani iwe nanyi!”

John 14:18Sitawaacha ninyi yatima, naja kwenu.

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)聖書 (日本語)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)

Study John 6:19

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeAlbert BarnesJohn WesleyJohn CalvinScofieldWilliam BurkittFamily Bible NotesThe Fourfold GospelJohn LightfootGeneva Bible Notes (1599)
← John 6:18John 6John 6:20 →